MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA MAONYESHO YA 35 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa , wakati alipotembeleea maonyesho hayo katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Dar es Salaam, leo Julai 01, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMsanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bendi ya Mjomba, Mrisho Mpoto, akitoa burudani mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa uzinduzizi wa maonyesho hayo leo Julai 01, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimabidhi Tuzo ya ushindi wa kundi la Engineering Priducts, Mkurugenzi Mkuu wa Sido, Mike Laiser, wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimabidhi Tuzo ya ushindi wa jumla Mkurugenzi Mkuu NSSF, Dkt Ramadhan Dau, wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMRRamadha Dau, akifurahia tuzo yake baada ya kukabidhiwa.Ramadhan Dau akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF, wakifurahia kwa pamoja na tuzo yao.Mwakilishi wa SBL, akiwa na tuzo yake baada ya kukabidhiwa kama wadhamini wakuu wa kinywaji cha maonyesho hayo. Ramadhan Dau akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF, wakifurahia kwa pamoja na tuzo yao.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) Ramadhan Hashim Khalfan, baada ya ufunguzi rasmi wa maonyesho hayo, uliofanyika leo Julai 01, 2011 kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoka nje ya banda la Maliasili na Utalii, wakati akikagua mabanda ya maonyesho. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wajasiliamali, ndani ya Banda la EOTF.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akikata utepe kuzindua, Redio Sibuka FM.Akiendelea kutembelea mabanda.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa wa Bunge, Owen, wakati alipotembelea Banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere alipofika kuzindua rasmi maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa. Picha na Muhidin Sufiani-OMRAkiendelea kutembelea na kukagua mabanda, hapa ni wakati akitoka kukagua Banda la Home Shopping Centre.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya The Cool Tool, Manfrd Heindl, wakati alipokuwa akikagua mabanda ya biashara. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula, wakati alipotembelea na kukagua Banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa, baada ya Makamu kuzinduz maonyesho hayo rasmi leo Julai 01, 2011. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Mark Wiessinga. Picha na Muhidin Sufiani-OMMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Mark Wiessinga, wakati alipotembelea na kukagua Banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa, baada ya Makamu kuzinduz maonyesho hayo rasmi leo Julai 01, 2011. Katikati ni. Picha na Muhidin Sufiani-OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja ya Banda la Mjasiliamali wakati alipotembelea Banda la benki ya NMB. Picha na Muhidin Sufiani_OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua bidhaa za Delphine Mlambiti wa Blessing Fashion Centre, wakati akiwa ndani ya Banda la Benki ya NMB, akikagua mabanda ya maonyesho. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Mark Wiessinga. Picha na Muhidin Sufiani-OMR