Filamu ya I Love Mwanza…!

Filamu ya I Love Mwanza...!

Mapenzi yanamfanya mtoto wa senetor Michael Nsonko kutoka Nairobi Kenya na kuja katika jiji la mwanza Tanzania. Alivutiwa sana na jiji hilo nakujiona ni mwenye bahati. Je kila kiang’aacho ni Dhahabu?. Fuatilia hii kupitia mtandao …….
 
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania mtandaoni iitwayo I LOVE MWANZA au Kununua na iwe yako tembelea tovuti ya 
 
 
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo