Filamu ya ‘All Eye’s On Me’ Kuzinduliwa Dodoma

WAKAZI WA DODOMA JIANDAENI VEMA SIKU YA
VALENTINE DAY
: TUMEWAANDALIA BONGE LA SHOO LA UZINDUZI
WA MOVIE YA  EFRANCYA, ALL EYE’S ON ME:SHILOLE NDANI YA NYMBA PAMOJA NA
WASANII WACHEKESHAJI KIBAO: NA PIA SURPRISE KIBAO ZITAKUWEPO, VILE
VILE  WALE WATAOTUPIA PAMBA NA KUPENDEZA ZAIDI WAJIANDAE KWA
ZAWADI KIBAO: