FFU- Ughaibuni Yafunika Tamasha la Challenge Festival Dortmund

kila mtu alipandishwa mzuka na Ngoma Africa Band

Ngoma Africa band wawatia kiwewe mashabiki wake katika Challenge Festival Dortmund Ujeruman Juni 7,katika tamasha lililoandaliwa na umoja wa wakameruni waishio nchini Ujerumani.

umati wa washabiki wa mjini dortmund wakijiweka tayari kupata burudani ya ngoma africa band

FFU wa Ngoma Africa Band wakiwa jukwaani ,Dortmund

FFU wakipeleka mashambulizi kwa washabiki

hali halisi katika show ya Ngoma Africa band,Dortmund

kila mtu alipandishwa mzuka na Ngoma Africa Band

ngoma africa band wakiwa jukwaaani mjini Dortmund
Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU “Anunnaki alien” au watoto wa mbwa, walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge Festival liloandaliwa na umoja wa wakameruni nchini Ujerumani.