Ewe Mungu, lini utatuepushia foleni hii ya Ubungo!?

Usiombe ukutane na foleni hii nyakati za jioni Ubungo. Picha hii imepigwa leo Juni 29, 2012 jioni maeneo ya Ubungo Plaza.