Edward Lowassa ‘Afunika’ Viwanja vya Furaisha Mwanza

Wafuasi vya vyama vinavyounda ushirikiano wa UKAWA, wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa akizungumza Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba.
 Wananchi wakiwemo wafuasi wa Chama hicho wakionyesha juu Mikono wakiwa wanaonyesha vidole juu
 Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe (kulia) akiwa juu ya Gari akiwasalim wanachama wa Chama hicho alipokuwa akiwasili viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na kushoto ni aliyewa  Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) aliye timkia Chadema.
 Lowassa akiwapungia mkono wananchi na wafuasi wa Chama hicho alipokuwa akiingia katika viwanja vya Furahisha, Kirumba Jijini Mwanza.
 Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wake
 Viongozi wa Chama hicho wakiwa wamesimama wakati walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa.
 Lowassa wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama hicho.
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia  akiteta jambo na Lowassa katika viwanja vya Furahisha.
 Askari wa Jeshi la Polisi walipata wakati mgumu  wakihakikisha usalama unakuwepo katika maeneo hayo.
 Walinzi wa Lowassa wakihakikisha usalama unakuwepo katika Gari la Kiongozi huyo na wengine wakitaka wampe mikono na wakatumia kamba.
 Mapacha waungana
 Mikono wa wafuasi hao wakipunga mikono
 Wengi wajitokeza mapokezi ya Lowassa
 Kabla hajafika Kiongozi huyo katika viwanja vya Furahisha.
 Waziri Mkuu mstaafu Lowassa,  akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba.
 Wananchi wakiwemo wafuasi wa Chama hicho wakionyesha juu Mikono wakiwa wanaonyesha vidole juu.
 Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe (kulia) akiwa juu ya Gari akiwasalim wanachama wa Chama hicho alipokuwa akiwasili viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na kushoto ni aliyewa Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) aliye timkia Chadema.
 Lowassa akiwapungia mkono wananchi na wafuasi wa Chama hicho alipokuwa akiingia katika viwanja vya Furahisha, Kirumba Jijini Mwanza.
 Lowassa akisalimiana na Mwenyekiti wake.
 Viongozi wa chama hicho wakiwa wamesimama wakati walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa.
 Lowassa wakiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama hicho.
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiteta jambo na Lowassa katika viwanja vya Furahisha.
 Askari wa Jeshi la Polisi walipata wakati mgumu wakihakikisha usalama unakuwepo katika maeneo hayo.
 Walinzi wa Lowassa wakihakikisha usalama unakuwepo katika gari la kiongozi huyo na wengine wakitaka wampe mikono na wakatumia kamba.
 Mapacha waungana.
 Mikono wa wafuasi hao wakipunga mikono
 Wengi wajitokeza mapokezi ya Lowassa.
 Kabla hajafika kiongozi huyo katika viwanja vya Furahisha.
 Umati wa wananchi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo pamoja na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD wakiwa uwanjani kumsikiliza mgombea wao wa tiketi ya urais.  (Picha zote na Khamisi Mussa)