DOLASED Yalia na Haki za Watu Wenye Ulemavu

Ofisa Mipango Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria, maendeleo ya jamii na kiuchumi kwa watu wenye ulemavu (DOLASED), Risala Msemo akifafanua jambo kuhusu mradi wa haki za kisheria kwa watu wenye ulemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DOLASED Gidion Mandesi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayoshughulikia masuala ya haki za kisheria, maendeleo ya jamii na kiuchumi (DOLASED), Gidion Mandesi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa haki za walemavu katika ukumbi wa Idara ya Habari –MAELEZO leo. Kushoto ni Ofisa Msaidizi wa MAELEZO, Vincent Tiganya na kulia ni Ofisa Mipango wa DOLASED , Risala Msemo.