Dogo Aangukiwa Zali Kutoka Kwa Kanye West

kanye

Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake.

Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu herufi TLOP zinamaaana gani kwenye jina la albamu ya mwanamuziki huyo ulio ambalo limetolewa kutoka kwa wimbo wake mpya kwa jina No More Parties in LA.

kaaan

west

Kijana huyo Atapokea tiketi za kuhudhuria maonyesho ya mavazi ya Kanye West ya Yeezy makala ya tatu, pamoja na mavazi yenyewe.

iwapo bado unatafakari herufi hizo zilikua zinamaana gani maana yake ni The Life of Pablo.

Dante anatoka New Jersey nchini Marekani na ni mwanarepa na produsa wa muziki. Anafanya kazi na HW4L Records. Alifrahi sana alipogundua kwamba alikuwa amepata swali hilo kuhusu TLOP

Simu yangu ilianza kuita. Nilifikiria Kanye alikuwa ametangaza jina kamili na lilikuwa The Life of Pablo,” anakumbuka.

Dante anasema wahudumu wa Kanye hawajawasiliana naye bado. Lakini atatumia zawadi hiyo kusaidia watu wasiojiweza.

ken