Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar