
Mgombea Ubungekwatiketiyachama cha mapinduzi(CCM) Dkt Fenella Mukangara(aliyesuka) akilakiwanaumatiwawakaziwamarambamawili kata yamsiganialipokuwaakiendeleanakampenikatikajimbo la kibamba

Mgombea ubungekwatiketiyachama cha MapinduziDkt Fenella Mukangara(wa pili kutokakushoto) akifurahiajambonamgombeaudiwanikwatiketiyachamahichoBw.Sirajuhassanmwashawalipokuwakatikamkutanowakampenimarambamawili kata yamsigani

MgombeaUbungekwatiketiyachama cha mapinduzi(CCM) Dkt Fenella Mukangaraakiongeanawakaziwamarambamawili kata yamsiganiwakatialipokuwaakinadi sera zachamachake.Dkt Fenella aliwaahidiwakazihaokuwawakimchaguaataboreshamiundombinu,maji ,afya,elimukwakujengachuo cha ufundinamikopokwavijanaikiwemowabodabodaambapowatapatabima,elimuyabarabaraninamikopo

kijana aliyetoka CHADEMA akirudishakadinakujiunganachama cha mapinduzi(CCM)nakupokelewanamgombeubungekwatiketiyachama cha mapinduzidkt Fenella Mukangarabaadayakuvutiwana sera zachamahichokwaniwagombea wake niwaadilifu,wachapakazinawenyekupendamaendeleo.