Waziri wa fedha William Mgimwa akiwa na maongezi ya uwekezaji na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard (Standard Bank) hapa jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa na Mwenyekiti wa Bodi ya uwekezaji Maurice Lam wa Mauritius wakibadilishana hati za mawasiliano Jijini Tokyo-Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa akimpokea Waziri wa fedha wa Kenya, Robinson Githae tayari kwa kikao chao kinachohusu mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia ni waziri wa Fedha wa Rwanda
Waziri wa Fedha, William Mgimwa akiwa na wajumbe kutoka nchi ya Mauritius. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Maendeleo ya Uchumi, Ali Mansoor, Makamu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi, Xavier – Luc Duval walipokuwa wakibadilishana mbinu juu ya maendeleo kati ya nchi zao jijini Japan, Tokyo. Picha zote na Ingiahedi Mduma na Scola Malinga Jijini Tokyo – Japan