Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto, katika
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]