Dk. Shein na Mkewe Wafungua Majengo ya Ofisi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa Jengi jipya la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, sherehe hizo zilizofanyika huko Kilimani Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini. [Picha na Abdalla Haji Abdalla]

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shei akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kituo cha Polisi cha Fumba Mkoa Mjini Magharibi (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa