Dk Shein Katika Mkutano na Wenyeviti, Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi

Mjumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Simai Mohamed Saidi, akichangia katika mkutano wa siku moja wa Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi wa Mashirika na Taasisi mbalimbali, katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani). [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi wa Mashirika na Taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza katika mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiufunga mkutano wa Wenyeviti na Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi wa Mashirika na Taasisi mbalimbali, katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, uliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, (kulia) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.] 