Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiwa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamo Mwenyekiti na Rais Mstaafu wa Zanzibar (Komandoo) Dk. SAlimin Amour Juma, alipoasili katika Mkutano wa CCM, Uliofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti katika Mkutano wa Hadhara wa Kuimarisha Chama Mikoa ya Unguja. [Picha na Ramadha Othman Ikulu.]
Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (Komandoo) Dk. Salmin Amour Juma. alipokuwa akiwasalimia na kuwahutubia katika Mkutano wa hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar katika uwanja wa Demokrasia Kibanda maiti mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman. Ikulu.]
Wanachama wa CCM wa maskani ya Kisonge wakishangilia katika Mkutano wa hadhara uliofanyika na kuhutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Uwanja wa Kibandamaiti Mjini Zanzibar. [Picha na Ramahan Othman, Ikulu.]