Dk Shein azungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba

Viongozi wa Majimbo, Shehia katika ngazi mbali mbali za Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi hao, katika ziara ya kuimarisha Chama, katika Mikoa ya Pemba, huko Ukumbi wa Umoja ni Nguvu Mkoani Pemba. (Picha na Ramadhan Othman, Pemba)