Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji (ZATI) Abdulswamad Said Ahmed, akitoa Ripoti ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii, pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mjumbe wa Bodi Bobby Myenna. {Picha na Ramadhan Othman, Ikulu}