Dk. Shein Azinduwa Jengo la Jumuiya ya Wanaoishi na Ukimwi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya la Jumuiya wanaoishi na Virusi vya Ukimwi huko Welezo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

IMG_2203
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa ZAPHA+ Seif Juma Abdalla, alipowasili kulizindua jengo jipya la Jumuiya Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi huko Welezo (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya ZAPHA+ Bi. Hasina Hamadi. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

IMG_2205
 
Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kama isahara ya kulizindua jengo jipya la Jumuiya Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ZAPHA+ huko Welezo (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZAPHA+ Bi. Hasina Hamadi.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

IMG_2275
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi ZAPHA+ Consolata John, alipokuwa akimkabidhi risala ya kwa niaba ya wanachama wenzake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya la Jumuiya hiyo huko Welezo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]