Dk Shein Azindua Mwenge wa Uhuru Kitaifa Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa
kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
leo,(kulia) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Tanzania
Bara,Dk.Fenelle Mukangara,na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya
Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar
Mohamed,(kushoto).[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za
Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini Unguja,baada
kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa
wa Kusini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa
baada ya kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
leo,mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]