Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akikata utepe kama ishara ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa Masjid Lhudda wa Kiboje Mwembeshauri, Wilaya ya Kati Unguja (wa kwanza kulia) Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, [Picha na Ramadhan Othman, ORZ]
Baadhi ya waislamu wa Kijiji cha Kiboje Mwembeshauri, pamoja na vitongoji vyake wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa nasaha zake baada ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa Masjid Hudda wa Kiboje Mwembeshauri Wilaya ya Kati Unguja [Picha na Ramadhan Othman, ORZ]