Dk Shein azindua kituo cha mnada na kutembelea shamba kuku

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika Kituo cha Mradi wa shamba la Kuku lililopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, linalomilikiwa na Mtanzania mzawa, Abdulwahd Mohamed (kulia), wakatia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 02, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la mradi wa Ujenzi wa Kituo cha mnada wa Ng’ombe katika Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo, Januari 02, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la mradi wa ujenzi wa Kituo cha mnada wa Ng’ombe katika Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani, leo Januari 02, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitembelea na kukagua mabanda ya kuku katika kituo cha Shamba la Kuku kilichopo Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Januari 02, 2012. Kushoto ni Mkurugenzi wa kituo hicho, Abdulwahd Mohamed na (kulia) ni Mama Zakhia Bilal. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha mnada wa Ng’ombe katika Kijiji cha Mkiu Wilaya ya Mkuranga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani, leo Januari 02, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR