Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja, katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein akibadilishana mawazo na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume (wa pili kulia) na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Salmin Amour Juma, katika hafla ya kunukuku nishati iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja, katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Salmin Amour Juma, katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja, katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.[Picha zote na ramadhan Othman Ikulku.]