Dk.Shein Atembelea Uzinduzi wa Mradi wa SEAMAUL UDONG Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein na  Balozi wa Korea Bw.IL Chung (katikati) wakiangalia embe zilizokaushwa zikiwa katika Mpango  maalum wa kuhifadhiwa  wakati alipotembelea kituo cha kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha  Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la misaada la Koika nchini Korea kupitia  Mradi wa  SAEMAUL UDONG   .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein na
Balozi wa Korea Bw.IL Chung (katikati) wakiangalia embe zilizokaushwa zikiwa katika Mpango
maalum wa kuhifadhiwa wakati alipotembelea kituo cha kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha
Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la misaada la Koika nchini Korea kupitia
Mradi wa SAEMAUL UDONG .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein  akipata maelezo kutoka Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na  Maliasili Nd,Juma Ali Juma wakati alipotembelea kituo cha  kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha Cheju kibonde maji leo  kilichojengwa na  Shirika la misaada la Koika nchini Korea kupitia    Mradi wa  SAEMAUL UDONG    .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na
Maliasili Nd,Juma Ali Juma wakati alipotembelea kituo cha
kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na
Shirika la misaada la Koika nchini Korea kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG
.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein  akibadilishana mawazo na  na Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw.IL Chung mara baada ya kutembelea   kituo cha kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la  misaada la Koika nchini Korea kupitia  Mradi  SAEMAUL UDONG   .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.ALi Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na na Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw.IL Chung mara baada ya kutembelea
kituo cha kukausha Embe Dodo katika Kijiji cha Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la
misaada la Koika nchini Korea kupitia Mradi SAEMAUL UDONG .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]