Dk Shein Atembelea Micheweni

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya aliyejiunga na CCM Mjaka Yussuf Juma,katika
sherehe maalum za kuwakabidhi kadi wanachama wapya katika Wilaya ya
Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa kaskazini
Pemba leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na
Viongozi wengine wakila kiapo cha utii kwa Chama wakati wa kuwaapisha
wanachama wapya wa CCM katika Tawi la CCM Michenzani leo,katika ziara
ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake
wakila kiapo cha utii kwa chama baada ya kukabidhiwa kadi zao na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya
Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]