![Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Viongozi wakati alipohudhuria katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, wakati wa hafla ya kuapishwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Abdula Khamis.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/09/TA1A0094.jpg)
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Viongozi wakati alipohudhuria katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, wakati wa hafla ya kuapishwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Abdula Khamis.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
![Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Dk. Mwinyihaji Makame, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, wakiwa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Abdula Khamis,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/09/TA1A0089.jpg)
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Dk. Mwinyihaji Makame, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, wakiwa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Abdula Khamis,leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]