Dk Shein amuapisha Fatma Bilal kuwa Katibu Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Fatma Gharib Bilal, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, na Maedeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto, hafla hiyo ilifanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha kwa Hisani ya Ikulu Zanzibar)