Dk. Shein Alipozungumza na Rais wa Comoro na Waziri wa China, Weixin

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine, baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja, Rais wa Comoro alifika nchini kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. ALi Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Miji na Vijijini Nchini China Bw. Jiang Weixin, alipofika Ikulu ya Migombani, Waziri huyo yupo nchini kushiriki sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.]