Dk Shein Akutana na Marais wa Comoro na Seychels

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Seychels James Michel walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbalimbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Wajumbe wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa wakiwa katika ukumbi wa jengo la Apia wakati michango mbalimbali ikitolea na Vingozi wa Nchi zilizoshiriki mkutano huo, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo wakati vikao mbalimbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]