Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, (kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]