Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamja na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje, walipofika kumuaga Rais, mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)
Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje, walipofika kumuaga Rais, mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)
Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje, walipofika kumuaga rais mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)