Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna {Picha na Ramadhan Othman, Ikulu}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar {Picha na Ramadhan Othman, Ikulu}