Dk Shein Afunga Kampeni za CCM Kugombea Ubunge Chalinze…!

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa kufunga kwa Kampeni za CCM, zilizofanyika April 5, 2014 kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze, leo April 5, 2014 tayari kwa kufunga kampeni za CCM. Kulia ni Mke wa Ridhiwani Kikwete, Bi. Arafa Kikwete. Picha na Othman <a href=

Michuzi” src=”http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/04/MMG29289.jpg” width=”640″ height=”418″ /> Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze, leo April 5, 2014 tayari kwa kufunga kampeni za CCM. Kulia ni Mke wa Ridhiwani Kikwete, Bi. Arafa Kikwete. Picha na Othman Michuzi

Dk Ali Shein Afunga Kampeni za CCM Chalinze

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa kufunga kwa Kampeni za CCM, zilizofanyika April 5, 2014 kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze. Picha na Othman Michuzi.

Umati mkubwa wa wananchi wa Kijiji cha Kikaro, Kata ya Miono ndani ya Jimbo la Chalinze wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze, leo April 5, 2014 tayari kwa kufunga kampeni za CCM. Picha na Othman Michuzi.

Kinana aendelea na Ziara Yake; Mjini Sumbawanga

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa ziara yake mkoani Rukwa.