Dk Shein Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji ICT

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara cha Kimataifa International Trade Center, ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa na ujumbe wake katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa nchi za Visiwa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyeekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ujumbe wake wakianagalia vitu mbalimbali katika makumbusho ya Taifa la Samoa walipotembelea, Rais akiwa huko katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman, Samoa.]

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini Samoa Mainifo Viliamu, alipotembelea akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.[Picha na Ramadhan Othman, Samoa.]

Baadhi ya mabanda ya maonesho ya biashara mbalimbali katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa, mkutano huo wa siku nne unaendelea katika nchi ya Samoa.[Picha na Ramadhan Othman, Samaoa.]