Dk Shein Afanya Mazungumzo na Kiongozi Kampuni ya ZANCHICK

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DK. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani, Dk. David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo.[Picha na ramadhan Othman Ikulu.]