
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania Tahir Mahmood Chaundry wakati walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania Tahir Mahmood Chaundry wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam jana. Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM.