Dk. Mpoki Azindua Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na Vitendanishi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akikata utepe
kuashiria uzinduzi mkutano wa  Mpango
kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015)
leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na
kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akionyesha
taarifa ya  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa
vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) baada ya uzinduzi   leo
jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia
ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza  wakati wa uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa
Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) leo jijini Dar es
Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati waliokaa) akiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa taarifa ya  Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na
vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2015) leo jijini Dar es Salaam.(Picha na
Lorietha Laurence-