Dk. Mgimwa Afunguwa Mkutano wa Tathmini ya Mapitio ya Mwaka 2013

02
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwilile akimkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni Waziri Wizara hiyo kutoa hotuba yake kwenye mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

03
Balozi wa Swiden nchini Mh. Balozi Lennanrth Hhjelmaker akimshukuru Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa baada ya kumaliza kutoa hotuba ya yake ya ufunguzi wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere  jijini Dar es salaam.

5(2)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere  jijini Dar es salaam.

6(1)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

7(1)
Baadhi ya waandishi wa habari wakiongea na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  baada ya mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam. (Picha zote na Eleuteri Mangi – Maelezo)