Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada Bw. Julian kabla ya kikao kuanza Fantino
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akutana na Waziri wa Ushirika wa Kimataifa wa Canada Mhe. Julian Fantino kujadili vipaumbele vya maendeleo ambavyo ni Elimu, Nishati, Rasilimali Fedha, Kilimo, Maji na Usafirishaji.
Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa pamoja na ujumbe wa Tanzania katika majadiliano ya pamoja na Julian Fantino ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa katikati mbele. Aliyekaa kushoto kwake ni Bi. Margaret Biggs ambaye ni Rais wa Taasisi ya maendeleo ya kimaifa (CIDA).
Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar, Bw. Khamis Mussa.
Kamishna wa Fedha za Nje Zanzibar Bi. Bihindi Nassor akisalimiana na Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada, Julian Fantino.
Waziri wa Fedha, Dk. Wiliam Mgimwa akisisitiza jambo kwa Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa Bw. Julian Fantino mara baada ya kikao kumalizika
Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada, Julian Fantino aliyesimama, akisoma hotuba yake mbele ya ujumbe wa Tanzania. Aliyekaa kushoto kwake ni Bi. Margaret Biggs ambaye ni Rais wa shirika la maendeleo la kimataifa (CIDA). Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi. Eva Valerian – Washington DC