DK. Makame Mwadini Afungua Msikiti wa Masjid Taqwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini, akizungumza na Waislamu na wananchi wa Ilala Bungoni Jijini Dar es Salaam, kwa niaba
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika sherehe za Ufunguzi wa Msikiti Masjid Taqwa leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Baadhi ya waislamu wanaume wa Ilala Bungoni na Vitongoji jirani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini alipokuwa akizungumza nao wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Msikiti Masjid Taqwa jijini Dar es Salaam, kwa kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Baadhi ya waislamu wanawake wa Ilala Bungoni na Vitongoji jirani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini, alipokuwa akizungumza nao wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Msikiti Masjid Taqwa jijini Dar es Salaam, kwa kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

aziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini akifungua pazia kama isahara ya ufunguzi wa Msikiti Masjid Taqwa, Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]