Dk. Magufuli Aendelea na Ziara ya Kampeni Kanda ya Ziwa

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Misungwi.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Misungwi.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli ameendelea kufanya vyema katika mikutano yake kanda ya ziwa kwa kupita sehemu mbali mbali ikiwepo Mabatini jijini Mwanza ambapo alisimamishwa na wananchi takribani mikutano 22 isiyo rasmi na wakati akielekea Magu, Kwimba na Misugwi.
 
Wananchi wakiwa wametanda barabarani kutaka kumuona mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli wakati akielekea katika mikutano yake Magu, Kwimba na Misugwi.
Mwenyekiti wa Jumuiya yaWazazi Taifa, Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akiwasalimia wanaCCM katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Magu.
Wakazi wa Magu na ujumbe mbalimbali.
Mwenyekiti wa Jumuiya yaWazazi Taifa, Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akitoa somo kwa wapiga kura waliohudhuria katika mkutano uliofanyika Kwimba.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu na vitongoji vyake.
Haaaa! Ilikuwa ni shangwe kila mmoja kaitikia wito kuja kumsikiliza
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge.
Ujumbe.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu na vitongoji vyake.
Ujumbe wa wanaIgokelo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Misungwi. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.