Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.
MKe wa Mgombea Urais wa CCM, Mama Janeth Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji huo kwa mapokezi mazuri na makubwa waliyoyapata wilayani humo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dk. Magufuli jioni ya leo katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza wilayani Chato mkoa wa Geita.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono pia na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza, Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza, Wilayani Chato na vitongoji vyake wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo.
leo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza, Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dk. Pombe Magufuli kujitambulisha kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk.John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk.John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge wao.
Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na furaha ya kupitiliza mara baada kumuona Dk. Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dk. Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo

Baadhi ya Wananchi wakiwa wameziba barabara wakitaka kumuona na kumsalimia Dk. Magufuli ikiwemo pia kumpongeza kwa kuteuliwa kuipeperusha bendera ya CCM katika kuwania Uraisi kupitia chama hicho
Wafuasi wa CCM wakishangilia mara baada ya kumuona Dk. Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato jioni ya leo
Mmoja wa Wafuasi wa CCM akishangilia mara baada ya kumuona Dkt Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa Muganza,wilayani Chato jioni ya leo.