Dk John Magufuli Awataka WanaCCM Lindi Kushikamana…!

"Karibu Bwana Magufuli..karibu sana Lindi" mmoja wa Wanachama akimkaribisha Mgombea Urais wa CCM Dk John Pombe Magufuli mara baaada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Lindi  ambapo alisaini vitabu, aliwashukuru wanachama na wafuasi wa chama hicho pamoja na kujitambulisha kwao.

“Karibu Bwana Magufuli..karibu sana Lindi” mmoja wa Wanachama akimkaribisha Mgombea Urais wa CCM Dk John Pombe Magufuli mara baaada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Lindi ambapo alisaini vitabu, aliwashukuru wanachama na wafuasi wa chama hicho pamoja na kujitambulisha kwao.

Dk. John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale. Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akishuhudia.
Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dk John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi, alipofika kusaini vitabu, kuwashukuru na kujitamulisha kwao.
 
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akizungumza jambo na Wanachama wa chama hicho nje ya Ofisi za CCM mkoa wa Lindi
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia baadhi ya wanachama wa CCM na wafuasi wa chama hicho waliofika kumlaki alipowasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama hao mapema Agosti 8 2015.Dkt Magufuli amewataka wananchama hao kushikamanana kuwa wamoja katika kipindi hiki muhimu cha uchaguzi,ambacho anaamini kitaipatia ushindi chama CCM.
Dk John Pombe Magufuli akitia sahihi vitabu ndani ya ofisi ya CCM mkoa wa Lindi, pichani kati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Ndugu Ali Mtopa pamoja na Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Ndugu Ali
Mtopa, alipowasili kumkaribisha Mgombea Mteule wa chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli aliyewasili kwenye ofis hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM, Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ndugu Ali Mtopa alipowasili  kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema Agosti 8 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM, Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Mama Salma Kikwete. Dk. Magufuli aliwasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema Agosti 8 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa chama hicho waliofika kumlaki alipowasili kwenye ofisi hizo kwa ajili ya kusaini vitabu pamoja na kuwashukuru na kujitambulisha kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM mkoani humo mapema Agosti 8 2015
 
Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa watoto waliofika kumlaki mgombea huyo.
“Karibu Bwana Magufuli..karibu sana Lindi” mmoja wa Wanachama akimkaribisha Mgombea Urais wa CCM Dk John Pombe Magufuli mara baaada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Lindi  ambapo alisaini vitabu, aliwashukuru wanachama na wafuasi wa chama hicho pamoja na
kujitambulisha kwao.
Dk. John Magufuli akisalimiana na aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mtama, kabla ya Bernad Membe, Ndugu Kassim Abdallah. PICHA NA MICHUZI JR – LINDI