Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa Tazara, kulia ni naibu wake Dk. Charles Tizeba, na kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Tazara, Damas Ndumbalo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), wakimsikiliza Dk. Harrison Mwakyembe.