Dk Chami azungumza na wafanyabiashara wa Japan


Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Cyril Chami akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa kundi la wafanyabiashara kutoka Japan waliomtembelea ofisini kwake jijini dsm leo. Wafanyabiashara hao wameonesha nia ya kuwekeza katika maeneo mbali mbali nchini.


Kutoka kushoto waliosimama. Balozi wa Japan hapa nchini Bw Hiroshi Nakagawa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Cyril Chami wakiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji kutoka Japan na Viongozi wa Wizara ya Viwanda na Biashara.