Dk Bilal Ndani ya Barala la Eid El Fitri, JK Arejea Kutoka Geneva

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Barala la Sikukuu ya Eid El- Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana ya Nyankumbu, mkoani Geita Julai 18, 2015. Picha na OMR

Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria Baraza la Sikukuu ya Eid El- Fitri, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Maswi, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dk. Bilal, wakati akihutubia katika Baraza hilo lililofanyika Kitaifa Mkoani Geita Julai 18, 2015. Picha na OMR

Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais Dk. Bilal, kuhutubia katika Baraza hilo. Picha na OMR

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Sheikh  Haruna Abdallah Kichwabuta, akitoa neno la shukrani baada ya hafla hiyo na Makamu wa Rais Dk. Bilal kuhutubia. Picha na OMR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mfanyakazi wa Shirika la Ndege la Uswisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea nyumbani baada ya ziara ya kikazi mjini Geneva

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea nyumbani baada ya ziara ya kikazi mjini Geneva. PICHA NA IKULU