Dk. Bilal azungumza na Wajumbe wa Hongda Group ya Beijing China

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe Kutoka Hongda Group, Beijing China, wakati ujumbe huo ulipofiak ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Hongda Group, kutoka Beijing China, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, Julai 12, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR