Dk. Bilal Azungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  wakati walipokutana faragha jana Nov 19, 2013, nchini Kuwait katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said,  baada ya mazungumzo ya faragha walipokutana jana Nov 19, 2013, katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait. Picha na OMR