Dk. Bilal Awapa Tuzo Watanzania Watetezi wa Afya ya Mama na Mtoto

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Mwnyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mery Nagu. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Elia Elikana, kutoka mkoa wa Singida ambaye ni mwanaume aliyepata tuzo hiyo kwa kumsindikiza mkewe Kliniki mara nyingi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal katika picha ya pamoja na viongozi na waliopata tuzo hizo.