Dk. Bilal Atoa Pole Msiba wa Rais wa Zambia, Sata

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam, Novemba 3, 2014. Picha na OMR

Picha ya marehemu

Picha ya marehemu

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, nyumbani kwa, Balozi huyo jijini Dar es Salaam, Novemba 3, 2014. Picha na OMR