Dk. Bilal Aongoza Swala ya Eid El Fitri

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitr

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitr

Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia mamia ya waumin wa dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri

Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia mamia ya waumin wa dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri

:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutumia mamia ya waumin wa dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo  asubuhi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutumia mamia ya waumin wa dini ya Kiislamu waliojumuika kwa pamoja katika swala ya Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam . Picha na OMR